وَٱتَّقُواْ ٱلَّذِي خَلَقَكُمۡ وَٱلۡجِبِلَّةَ ٱلۡأَوَّلِينَ ١٨٤
Wattaqul-ladhī khalaqakum wal-jibillatal-awwalīn
Na mcheni aliye kuumbeni nyinyi na vizazi vilivyo tangulia. 184
Maelezo ya chini
184 Na tahadharini na adhabu ya Mwenyezi Mungu aliye kuumbeni, na akaumba kaumu zenye nguvu na takaburi zilizo tangulia.