وَلَا تَبۡخَسُواْ ٱلنَّاسَ أَشۡيَآءَهُمۡ وَلَا تَعۡثَوۡاْ فِي ٱلۡأَرۡضِ مُفۡسِدِينَ ١٨٣
Walā tabkhasun-nāsa ashyā'ahum walā ta'thaw fil-ardi mufsidīn
Wala msiwapunje watu vitu vyao, wala msifanye jeuri kwa ufisadi. 183
Maelezo ya chini
183 Wala msiwapunguzie watu haki zao, wala msipite katika nchi mkifisidi kwa kuuwa, na uharamia, na kufanya madhambi, na kufuata pumbao.