Surat Ash-Shu'ara, aya 185

26:185

قَالُوٓاْ إِنَّمَآ أَنتَ مِنَ ٱلۡمُسَحَّرِينَ ١٨٥

Qālū innamā anta minal-musahharīn

Wakasema: Hakika wewe ni katika walio rogwa. 185

Maelezo ya chini

185 Wakasema: Wewe si chochote ila ni mtu aliye sibiwa na uchawi mkali na ikapotea akili yake.