Surat Ash-Shu'ara, aya 182

26:182

وَزِنُواْ بِٱلۡقِسۡطَاسِ ٱلۡمُسۡتَقِيمِ ١٨٢

Wazinū bil-qistāsil-mustaqīm

Na pimeni kwa haki iliyo nyooka;. 182

Maelezo ya chini

182 Na wapimieni watu kwa mizani ya sawa sawa, ili wachukue haki yao kwa uadilifu ulio nyooka.