إِنِّي لَكُمۡ رَسُولٌ أَمِينٞ ١٧٨
Innī lakum rasūlun amīn
Hakika mimi kwenu ni Mtume muaminifu. 178
Maelezo ya chini
178 Hakika mimi nimetumwa na Mola Mlezi wa walimwengu wote nikuongoeni na nikuongozeni. Nami ni muaminifu wa kuufikisha ujumbe wake kwenu.