فَٱتَّقُواْ ٱللَّهَ وَأَطِيعُونِ ١٧٩
Fattaqullāha wa atī'ūn
Basi mcheni Mwenyezi Mungu, na nit'iini mimi. 179
Maelezo ya chini
179 Basi tahadharini na adhabu ya Mwenyezi Mungu. Na nit'iini kwa kufuata amri za Mwenyezi Mungu, na kuziokoa nafsi zenu na madhambi.