إِذۡ قَالَ لَهُمۡ شُعَيۡبٌ أَلَا تَتَّقُونَ ١٧٧
Idh qāla lahum shu'aybun alā tattaqūn
Shuaibu alipo waambia: Je! Hamfanyi mkamchamngu?. 177
Maelezo ya chini
177 Ewe Muhammad! Watajie watu wako pale Shuaibu alipo waambia watu wa Machakani: Je! Hamumkhofu Mwenyezi Mungu mkamuamini? Wakaingia kumkadhibisha.