قَالَ إِنِّي لِعَمَلِكُم مِّنَ ٱلۡقَالِينَ ١٦٨
Qāla innī li'amalikum minal-qālīn
Akasema: Hakika mimi ni katika wanao kichukia hichi kitendo chenu. 168
Maelezo ya chini
168 Lut'i akasema: Hakika mimi nakichukia mno hichi kitendo chenu, wala sitoacha kabisa kukipinga na kukikebehi.