رَبِّ نَجِّنِي وَأَهۡلِي مِمَّا يَعۡمَلُونَ ١٦٩
Rabbi najjinī wa ahlī mimmā ya'malūn
Mola wangu Mlezi! Niokoe mimi na ahali zangu na haya wayatendayo. 169
Maelezo ya chini
169 Na akamwomba Mola wake Mlezi amwokoe yeye na ahali zake na wayatendayo wale wajinga, baada ya kwisha kata tamaa kuwa hawamsikilizi.