Surat Ash-Shu'ara, aya 163

26:163

فَٱتَّقُواْ ٱللَّهَ وَأَطِيعُونِ ١٦٣

Fattaqullāha wa atī'ūn

Basi mcheni Mwenyezi Mungu na nit'iini mimi. 163

Maelezo ya chini

163 Basi tahadharini na adhabu ya Mwenyezi Mungu, na ifuateni amri yangu kwa ninayo kuitieni.