Surat Ash-Shu'ara, aya 159

26:159

وَإِنَّ رَبَّكَ لَهُوَ ٱلۡعَزِيزُ ٱلرَّحِيمُ ١٥٩

Wa inna rabbaka lahuwal-'azīzur-rahīm

Na hakika Mola wako Mlezi ndiye Mwenye nguvu Mwenye kurehemu. 159

Maelezo ya chini

159 Na hakika bila ya shaka aliye kuumba ndiye Yeye Muweza wa kuwateketeza wapinzani, na Mfadhili wa kuwaokoa wachamngu.