فَٱتَّقُواْ ٱللَّهَ وَأَطِيعُونِ ١٥٠
Fattaqullāha wa atī'ūn
Basi mcheni Mwenyezi Mungu, na nit'iini mimi. 150
Maelezo ya chini
150 Basi iogopeni adhabu ya Mwenyezi Mungu, kwa kuto mshukuru kwenu kwa neema zake; na pokeeni nasiha yangu na muitende.