وَتَنۡحِتُونَ مِنَ ٱلۡجِبَالِ بُيُوتٗا فَٰرِهِينَ ١٤٩
Watanhitūna minal-jibāli buyūtan fārihīn
Na mnachonga milimani majumba kwa ustadi. 149
Maelezo ya chini
149 Na mnachonga milimani majumba kwa ufundi na ustadi katika hayo mnayo yaunda.