وَزُرُوعٖ وَنَخۡلٖ طَلۡعُهَا هَضِيمٞ ١٤٨
Wazurū'in wanakhlin tal'uhā hadīm
Na konde na mitende yenye makole yaliyo wiva. 148
Maelezo ya chini
148 Na konde zilizo wiva, na mitende ambayo mazao yake yamedhihiri mapevu na laini.