Surat Ash-Shu'ara, aya 144

26:144

فَٱتَّقُواْ ٱللَّهَ وَأَطِيعُونِ ١٤٤

Fattaqullāha wa atī'ūn

Basi mcheni Mwenyezi Mungu, na nit'iini. 144

Maelezo ya chini

144 Kwa hivyo tahadharini na adhabu ya Mwenyezi Mungu, na nifuateni kwa haya ninayo kuitieni kwayo kutokana na amri zake.