Surat Ash-Shu'ara, aya 133

26:133

أَمَدَّكُم بِأَنۡعَٰمٖ وَبَنِينَ ١٣٣

Amaddakum bi an'āmin wabanīn

Amekupeni wanyama wa kufuga na wana. 133

Maelezo ya chini

133 Kama alivyo kupeni mifugo kama ngamia, na ng'ombe, na kondoo, na mbuzi, na wana wenye nguvu, wakukulindieni mifugo yenu, na kukusaidieni katika shida za maisha.