إِنِّي لَكُمۡ رَسُولٌ أَمِينٞ ١٢٥
Innī lakum rasūlun amīn
Basi mcheni Mwenyezi Mungu, na nit'iini mimi. 125
Maelezo ya chini
125 Hakika mimi nimetumwa kutoka kwa Mwenyezi Mungu ili nikuongoeni mfuate uwongozi, na ni mwenye kuulinda ujumbe wa Mwenyezi Mungu. Naufikisha ujumbe huo kama alivyo niamrisha Mola wangu Mlezi.