Surat Ash-Shu'ara, aya 121

26:121

إِنَّ فِي ذَٰلِكَ لَأٓيَةٗۖ وَمَا كَانَ أَكۡثَرُهُم مُّؤۡمِنِينَ ١٢١

Inna fī dhālika la'āyatan wamā kāna aktharuhum mu'minīn

Na hakika Mola wako Mlezi ndiye Yeye Mwenye nguvu Mwenye kurehemu. 121

Maelezo ya chini

121 Hakika katika yaliyo simuliwa na Qur'ani juu ya khabari za Nuhu ni hoja ya kuthibitisha ukweli wa Mitume na uwezo wa Mwenyezi Mungu. Na katika watu walio somewa hadithi hizi si wengi walio amini.