ثُمَّ أَغۡرَقۡنَا بَعۡدُ ٱلۡبَاقِينَ ١٢٠
Thumma aghraqnā ba'dul-bāqīn
Kisha tukawazamisha baadaye walio bakia. 120
Maelezo ya chini
120 Baada ya kuokoka kwa Nuhu na walio amini, Mwenyezi Mungu aliwazamisha walio baki katika kaumu ya Nuhu walio kuwa hawakuamini.