قَالَ رَبِّ إِنِّيٓ أَخَافُ أَن يُكَذِّبُونِ ١٢
Qāla rabbi innī akhāfu an yukaddhibūn
Akasema: Hakika mimi nachelea wasinikanushe. 12
Maelezo ya chini
12 Musa akasema: Ewe Mola wangu Mlezi! Mimi nina khofu wasije kuukataa ujumbe wangu kwa kiburi na inda.