Surat Ash-Shu'ara, aya 11

26:11

قَوۡمَ فِرۡعَوۡنَۚ أَلَا يَتَّقُونَ ١١

Qawma fir'awna alā yattaqūn

Watu wa Firauni. Hawaogopi? 11

Maelezo ya chini

11 Nenda kwa kaumu ya Firauni; kwani hao wamepita mipaka katika dhulma yao. Ama ajabu ya watu hawa! Hawaogopi nini litalo wafika kwa vitendo vyao hivi, wakatahadhari?