وَلَا يَخَافُ عُقۡبَٰهَا ١٥
Walā yakhāfu 'uqbāhā
Wala Yeye haogopi matokeo yake. 15
Maelezo ya chini
15 Wala Yeye Mwenyezi Mungu hakhofu matokeo ya adhabu hiyo, kwani hiyo ni malipo ya haki kwa yale waliyo yatenda.
وَلَا يَخَافُ عُقۡبَٰهَا ١٥
Walā yakhāfu 'uqbāhā
Wala Yeye haogopi matokeo yake. 15
15 Wala Yeye Mwenyezi Mungu hakhofu matokeo ya adhabu hiyo, kwani hiyo ni malipo ya haki kwa yale waliyo yatenda.