Surat As-Sajdah, aya 25

32:25

إِنَّ رَبَّكَ هُوَ يَفۡصِلُ بَيۡنَهُمۡ يَوۡمَ ٱلۡقِيَٰمَةِ فِيمَا كَانُواْ فِيهِ يَخۡتَلِفُونَ ٢٥

Inna rabbaka huwa yafsilu baynahum yawmal-qiyāmati fīmā kānū fīhi yakhtalifūn

Hakika Mola wako Mlezi ndiye atakaye fafanua baina yao Siku ya Kiyama katika waliyo kuwa wakikhitalifiana. 25

Maelezo ya chini

25 Hakika Mola wako Mlezi ndiye peke yake atakaye hukumu baina ya Manabii na kaumu zao Siku ya Kiyama katika mambo wanayo khitalifiana.