Surat As-Saffat, aya 98

37:98

فَأَرَادُواْ بِهِۦ كَيۡدٗا فَجَعَلۡنَٰهُمُ ٱلۡأَسۡفَلِينَ ٩٨

Fa arādū bihī kaydan faja'alnāhumul-asfalīn

Basi walitaka kumfanyia vitimbi, lakini tukawafanya wao ndio wa chini. 98

Maelezo ya chini

98 Kwa haya walikusudia kumteketeza, lakini Mwenyezi Mungu alimwokoa na ule moto baada ya wao kwisha mtumbukiza humo. Hadhi yake ikawa juu kwa utukufu ule, na Mwenyezi Mungu akawafanya wao ndio watu wa chini.