Surat As-Saffat, aya 94

37:94

فَأَقۡبَلُوٓاْ إِلَيۡهِ يَزِفُّونَ ٩٤

Fa aqbalū ilayhi yaziffūn

Basi wakamjia upesi upesi. 94

Maelezo ya chini

94 Walipo baini kwamba kuvunjwa miungu yao ni kwa kitendo cha Ibrahim, basi walimkimbilia ili wamtese kwa alivyo watendea miungu yao.