Surat As-Saffat, aya 95

37:95

قَالَ أَتَعۡبُدُونَ مَا تَنۡحِتُونَ ٩٥

Qāla ata'budūna mā tanhitūn

Akasema: Hivyo mnaviabudu vitu mnavyo vichonga wenyewe 95

Maelezo ya chini

95 Ibrahim akawaambia kwa kuwahizi: Hivyo nyinyi mnaabudu mawe mliyo yachonga nyinyi wenyewe kwa mikono yenu? Akili zenu zimekwenda wapi?