فَرَاغَ عَلَيۡهِمۡ ضَرۡبَۢا بِٱلۡيَمِينِ ٩٣
Farāgha 'alayhim darbā bil-yamīn
Kisha akaigeukia kuipiga kwa mkono wa kulia. 93
Maelezo ya chini
93 Akayaingilia yale masanamu kuyapiga kwa mkono wa kulia, kwa kuwa ndio wenye nguvu, akayabomoa.