Surat As-Saffat, aya 90

37:90

فَتَوَلَّوۡاْ عَنۡهُ مُدۡبِرِينَ ٩٠

Fatawallaw 'anhu mudbirīn

Nao wakamwacha, wakampa kisogo. 90

Maelezo ya chini

90 Watu wake wakamwachilia mbali, na wakapuuza maneno yake.