Surat As-Saffat, aya 89

37:89

فَقَالَ إِنِّي سَقِيمٞ ٨٩

Faqāla innī saqīm

Akasema: Hakika mimi ni mgonjwa! 89

Maelezo ya chini

89 Akajikhofia nafsi yake asiwe ana upotovu na maradhi ya itikadi.