فَرَاغَ إِلَىٰٓ ءَالِهَتِهِمۡ فَقَالَ أَلَا تَأۡكُلُونَ ٩١
Farāgha ilā ālihatihim faqāla alā ta'kulūn
Basi akaiendea miungu yao kwa siri, akaiambia: Mbona hamli? 91
Maelezo ya chini
91 Akayaendea kwa haraka yale masanamu kwa kificho, na akayapa chakula ambacho wale washirikina walikiweka mbele yao ili nao wapate baraka yao kwa mujibu wa madai yao. Akasema kwa maskhara na kejeli: Mbona hamli?