دُحُورٗاۖ وَلَهُمۡ عَذَابٞ وَاصِبٌ ٩
Duhūran walahum 'adhābun wāsib
Wakifurushwa. Na wanayo adhabu ya kudumu. 9
Maelezo ya chini
9 Hufukuzwa hao kwa nguvu wasifikilie kuweza kusikiliza khabari za mbinguni. Na Akhera watapata adhabu kali ya kudumu.