Surat As-Saffat, aya 8

37:8

لَّا يَسَّمَّعُونَ إِلَى ٱلۡمَلَإِ ٱلۡأَعۡلَىٰ وَيُقۡذَفُونَ مِن كُلِّ جَانِبٖ ٨

Llā yassamma'ūna ilal-mala'il-a'lā wayuqdhafūna min kulli jānib

Wasiweze kuwasikiliza viumbe watukufu. Na wanafukuzwa huko kila upande. 8

Maelezo ya chini

8 Hao majabari wa kishetani hawawezi kusikiliza yanayo pita katika ulimwengu wa Malaika. Na wao hupopolewa kwa kila kinacho faa cha kuwazuia.