Surat As-Saffat, aya 85

37:85

إِذۡ قَالَ لِأَبِيهِ وَقَوۡمِهِۦ مَاذَا تَعۡبُدُونَ ٨٥

Idh qāla li abīhi waqawmihī mādhā ta'budūn

Alimwambia baba yake na watu wake: Mnaabudu nini? 85

Maelezo ya chini

85 Alipo chukia kuwa baba yake na watu wake wanaabudu masanamu, akawaambia: Ni nini haya masanamu mnayo yaabudu?