ثُمَّ أَغۡرَقۡنَا ٱلۡأٓخَرِينَ ٨٢
Thumma aghraqnal-ākharīn
Kisha tukawazamisha wale wengine. 82
Maelezo ya chini
82 Kisha tukawazamisha wenginewe katika makafiri wa kaumu yake.
ثُمَّ أَغۡرَقۡنَا ٱلۡأٓخَرِينَ ٨٢
Thumma aghraqnal-ākharīn
Kisha tukawazamisha wale wengine. 82
82 Kisha tukawazamisha wenginewe katika makafiri wa kaumu yake.