إِنَّهُۥ مِنۡ عِبَادِنَا ٱلۡمُؤۡمِنِينَ ٨١
Innahū min 'ibādinal-mu'minīn
Hakika yeye ni katika waja wetu walio amini. 81
Maelezo ya chini
81 Hakika yeye ni miongoni mwa waja wetu walio tuamini, na wakatimiza ahadi yetu, na wakaufikisha Ujumbe wetu.