Surat As-Saffat, aya 83

37:83

۞ وَإِنَّ مِن شِيعَتِهِۦ لَإِبۡرَٰهِيمَ ٨٣

Wa inna min shī'atihī la ibrāhīm

Na hakika Ibrahim alikuwa katika kundi lake, 83

Maelezo ya chini

83 Na hakika bila ya shaka Ibrahim alikuwa akifuata ile ile njia yake na mwenendo wake katika kuitia Tawhidi, Imani