إِنَّا كَذَٰلِكَ نَجۡزِي ٱلۡمُحۡسِنِينَ ٨٠
Innā kadhālika najzil-muhsinīn
Kwa hakika hivi ndivyo tunavyo walipa wanao fanya mema. 80
Maelezo ya chini
80 Hakika Sisi huwalipa walio tenda mema mfano wa haya. Basi aliingia katika Jihadi kulinyanyua Neno letu, na akavumilia maudhi kwa ajili yetu.