Surat As-Saffat, aya 73

37:73

فَٱنظُرۡ كَيۡفَ كَانَ عَٰقِبَةُ ٱلۡمُنذَرِينَ ٧٣

Fanzur kayfa kāna 'āqibatul-mundharīn

Basi hebu angalia ulikuje mwisho wa walioonywa. 73

Maelezo ya chini

73 Basi angalia, ewe uliye jaaliwa kuangalia, ulikuwaje mwisho wa walio onywa na Mitume? Bila ya shaka waliteketezwa, wakawa ni mazingatio kwa watu.