وَلَقَدۡ أَرۡسَلۡنَا فِيهِم مُّنذِرِينَ ٧٢
Walaqad arsalnā fīhim mundhirīn
Na Sisi hakika tuliwapelekea waonyaji. 72
Maelezo ya chini
72 Na bila ya shaka Sisi tuliyatumia Mitume hayo mataifa yaliyo tangulia ili wawaonye na wawahadharishe na adhabu ya Mwenyezi Mungu, nao wakawakadhibisha.