وَلَقَدۡ ضَلَّ قَبۡلَهُمۡ أَكۡثَرُ ٱلۡأَوَّلِينَ ٧١
Walaqad dalla qablahum aktharul-awwalīn
Na wao wakafanya haraka kufuata nyayo zao. 71
Maelezo ya chini
71 Na hakika walipotea njia ya sawa na njia ya Imani wengi katika mataifa yaliyo kwisha tangulia kabla ya hawa washirikina wa Makka.