Surat As-Saffat, aya 64

37:64

إِنَّهَا شَجَرَةٞ تَخۡرُجُ فِيٓ أَصۡلِ ٱلۡجَحِيمِ ٦٤

Innahā shajaratun takhruju fī aslil-jahīm

Hakika huo ni mti unao toka katikati ya Jahannamu. 64

Maelezo ya chini

64 Hakika huo ni mti ulioko katikati ya Jahannamu, umekulia huko Motoni, na umeumbwa kutokana na huko huko.