أَفَمَا نَحۡنُ بِمَيِّتِينَ ٥٨
Afamā nahnu bimayyitīn
Je! Sisi hatutakufa, 58
Maelezo ya chini
58 Je! Sisi tutakaa milele tukineemeka katika Pepo, wala hatufi kabisa isipo kuwa kule kufa kwetu mara ya kwanza duniani, na wala hatuadhibiwi baada ya kwisha ingia Peponi?