Surat As-Saffat, aya 54

37:54

قَالَ هَلۡ أَنتُم مُّطَّلِعُونَ ٥٤

Qāla hal antum muttali'ūn

Atasema: Je! Nyie mnawaona? 54

Maelezo ya chini

54 Muumini awaambie wenzie alio kaa nao: Enyi watu wa Peponi, mnawaona watu wa Motoni nipate kumwona rafiki yangu?