Surat As-Saffat, aya 55

37:55

فَٱطَّلَعَ فَرَءَاهُ فِي سَوَآءِ ٱلۡجَحِيمِ ٥٥

Fattala'a fara'āhu fī sawā'il-jahīm

Basi atachungulia amwone katikati ya Jahannamu. 55

Maelezo ya chini

55 Jicho lake lipige duru kuelekea Motoni, na huko amwone sahibu yake wa zamani yuko katikati akiadhibika kwa Moto.