أَءِذَا مِتۡنَا وَكُنَّا تُرَابٗا وَعِظَٰمًا أَءِنَّا لَمَدِينُونَ ٥٣
A'idhā mitnā wakunnā turāban wa'izāman a'innā lamadīnūn
Ati tukisha kufa tukawa udongo na mafupa, ndio tutalipwa na kuhisabiwa? 53
Maelezo ya chini
53 Ati baada ya kwisha teketea, tukawa udongo na mafupa, tutakuja kuwa hai mara nyengine, tuhisabiwe na tulipwe kwa vitendo tulivyo kwisha vitenda?