يَقُولُ أَءِنَّكَ لَمِنَ ٱلۡمُصَدِّقِينَ ٥٢
Yaqūlu a'innaka laminal-musaddiqīn
Aliye kuwa akinambia: Hivyo wewe ni katika wanao sadiki. 52
Maelezo ya chini
52 Akisema: Ati wewe ni katika hao wanao sadiki kuwa kupo kufufuliwa na kuhisabiwa na kulipwa baada ya kufa?