قَالَ قَآئِلٞ مِّنۡهُمۡ إِنِّي كَانَ لِي قَرِينٞ ٥١
Qāla qā'ilum minhum innī kāna lī qarīn
Aseme msemaji mmoja miongoni mwao: Hakika mimi nalikuwa na rafiki. 51
Maelezo ya chini
51 Hapo mmoja wao atasema: Mimi nalikuwa na rafiki katika washirikina, akijadiliana nami katika mambo ya Dini na yaliyo kuja katika Qur'ani.