Surat As-Saffat, aya 41

37:41

أُوْلَٰٓئِكَ لَهُمۡ رِزۡقٞ مَّعۡلُومٞ ٤١

Ulā'ika lahum rizqum ma'lūm

Hao ndio watakao pata riziki maalumu, 41

Maelezo ya chini

41 Hawa watu wa ikhlasi watapata Akhera riziki maalumu kwa Mwenyezi Mungu.