إِلَّا عِبَادَ ٱللَّهِ ٱلۡمُخۡلَصِينَ ٤٠
Illā 'ibādallāhil-mukhlasīn
Isipo kuwa waja wa Mwenyezi Mungu walio khitariwa. 40
Maelezo ya chini
40 Ila waja wangu walio safika; hao hawataionja adhabu kwa sababu wao ni watu wa Imani na ut'iifu.