Surat As-Saffat, aya 42

37:42

فَوَٰكِهُ وَهُم مُّكۡرَمُونَ ٤٢

Fawākihu wahum mukramūn

Matunda, nao watahishimiwa. 42

Maelezo ya chini

42 Matunda ya namna mbali mbali. Nao watastareheshwa na kutukuzwa,